Familia (biolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho na viungo
No edit summary
 
Mstari 4:
Kwa mfano [[paka-kaya]] ni spishi mojawapo pamoja na spishi 41 nyingine ndani ya familia ya [[Felidae]] inayojumlisha paka pamoja na [[chui]], [[simba]], [[tiger]] n.k.
 
Ndani ya familia kuna [[jenasi]] mbalimbali (zinazojumlisha spishi za karibu zaidi); kila familia ni sehemu ya ngazi ya juu zaidi inayoitwa [[oda]]. Familia ya Felidae (wanyama wanaofanawanaofanana na [[paka]]) ni sehemu ya oda ya [[Carnivora]] yaani wanyama [[walanyama]].
 
Kwa kawaida [[Jina|majina]] ya [[Sayansi|kisayansi]] ya kila familia huishia kwa
Mstari 12:
 
Familia kubwa sana zinaweza kugawiwa katika [[nusufamilia]]; vilevile oda kubwa sana inaweza kuwa na [[familia ya juu|familia za juu]] za kujumlisha ngazi ya familia.
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Uainishaji]]