Ushindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kufanikiwa badala ya kubaki
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Johann Carl Loth - Alegorija Pobjede.jpg|thumb|[[Johann Carl Loth]]: ''Mfano wa Ushindi''.]]
[[File:Resurrection.JPG|thumb|''Ufufuko'' kadiri ya [[Piero della Francesca]], [[1460]]]]
'''Ushindi''' (kutoka [[kitenzi]] ''kushinda'', yaani ''kubaki''; kwa [[Kiingereza]]: ''victory'') ni [[neno]] linalomaanisha kufanikiwa au kufaulu katika matukio kama vile [[jaribu|majaribu]], [[Mtihani|mitihani]], [[kesi]], mapigano au [[mechi]].
 
==Katika Ukristo==
Katika [[Ukristo]] ushindi mkuu ni ule wa [[Yesu]] dhidi ya [[mauti]] kwa [[Ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]].
Katika [[Ukristo]] ushindi mkuu ni ule alioupata [[Yesu]] kwa ajili ya [[watu]] wote dhidi ya [[mauti]] kwa [[Ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]].<ref>"Mauti imemezwa kwa kushinda. Ku wapi, ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, ewe mauti, uchungu wako? Uchungu wa mauti ni [[dhambi]], na [[nguvu]] za dhambi ni [[torati]]. Lakini [[Mungu]] ashukuriwe atupaye kushinda kwa [[Bwana]] wetu [[Yesu Kristo]] ! ([[1 Kor]] 15:54b-56)"</ref>
 
{{mbegu}}