Ngeli (biolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Ngeli hadi Ngeli (biolojia)
Nyongeza picha
Mstari 1:
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.]]
'''Ngeli''' ni kiwango kinachotumika katika [[biolojia]] kuainisha [[viumbehai]] wote katika [[Kundi|makundi]]. Kila ngeli imegawanyika katika makundi. Kuna ngeli nyingi katika kila [[faila]]. Kwa mfano [[mamalia]] ni moja ya makundi ya ngeli ya viumbe wenye [[uti wa mgongo]], na kundi hilo limegawanyika katika makundi kama [[Monotremes]], [[Marsupials]] na [[Eutheria]].<ref>https://simple.wikipedia.org/wiki/Class_(biology)</ref>