Peloponesi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Peloponnese hadi Peloponesi
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
[[Picha:Location map of Peloponnese (Greece).svg|thumb|300px|Peloponesi katika Ugiriki]]
 
{{Infobox settlement|name=Peloponesi|image_blank_emblem=|blank_emblem_type=|image_map=Location map of Peloponnese (Greece).svg|map_caption=Peloponnese (blue) within Greece|subdivision_type=Country|subdivision_name={{flag|Greece}}|leader_title=Regional governor|leader_name=|leader_party=|idadi_ya_wakazi_kwa_mwaka_wa=2011|area_total_km2=21,549.6|population_density_km2=auto|website=}}'''Peloponesi''' ([[Kigiriki]] Πελοπόννησος ''peloponesos'' ) ni [[rasi]] kwenye kusini ya [[Ugiriki]] . Imeunganishwa na sehemu ya bara ya nchi kwa shingo la nchi pale kwenye mji wa [[Korintho]]. Ghuba ya Korintho inatenganisha Peoponesi na Ugiriki bara.
 
Jina la kihistoria ya rasi lilikuwa Morea (Μωριάς ''morias'').
 
 
Eneo lote la Peloponesi ni kilomita za mraba 21,549. Kuna watu 1,155,000 walioishi hapa kwenye mwaka 2011.
Line 11 ⟶ 10:
== Jiografia ==
Rasi hiyo ina milima mingi na pwani lenye hori ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni Taygetos unaofikia mita 2,407 juu ya UB. Rasi yote inakabiliwa na [[mitetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara.
 
 
Mji mkubwa zaidi ni Patras yenye wakazi 170,000.
 
=== HistoriaMiji ===
[[Picha:Lions-Gate-Mycenae.jpg|thumb| Lango la Simba huko Mycenae .]]
[[Picha:Olympia_-_Temple_of_Hera_3.jpg|thumb| Hekalu la Hera, Olimpia .]]
Rasi hii iliona vipindi na watendaji muhimu katika historia ya Ugiriki ya Kale.
 
<nowiki>*</nowiki>Ustaarabu wa Mikene ulistawi manmo mwaka 1600 KK - 1100 KK ulikuwa eneo la maendeleo ya tekinolojia ya [[Zama za shaba|zama za bronzi]] katika Ulaya. Mikene ilikuwa mji kwenye kaskazini ya Peloponesi.
 
* Tangu mwaka 776 KK [[Michezo ya Olimpiki|Michezo ya]] [[Michezo ya Olimpiki|Olimpiki]] ilifanyika Olimpia kwenye magharibi mwa Peloponesi.
 
* Miji mikubwa ya kale Sparta, Korintho, Argos na Megalopolis zote zilikuwa kwenye Peloponesi na kwa muda mrefu ilishirikiana katika Shirikisho la Peloponesi.
* Kwenye miaka 431 KK - 404 KK vita ya Peloponesi iliona mapogano makali kati ya Sparta na Atheini.
 
* Tangu mwaka [[146 KK]] Peloponesi pamoja na Ugiriki yote ilikuja chini ya utawala wa Dola la Roma. Pamoja na sehemu zingine za Roma ya Kale hata hapa watu wengi walipokea dini mpya ya Ukristo.
* Baadaya kuporomoka kwa Dola la Rome [[Waslavi|makabila ya Waslavi]] walianza kuhamia Peloponesi; baada ya karne kadhaa Waslavi hao walikuwa wameshapokea Ukristo na kutumia lugha ya Kigiriki.
 
Kufanikiwa kwa kampeni ya Hellenization pia kunaonyesha kwamba Waslavs walikuwa wamekaa kati ya Wagiriki wengi, tofauti na maeneo ya kaskazini zaidi katika ile ambayo sasa ni Bulgaria na ile ya zamani ya Yugoslavia, kwani maeneo hayo hayangeweza kuhesabiwa Hellenized wakati yalipopatikana na Byzantines mapema Karne ya 11. <ref>Fine (1983), p. 64</ref> Utafiti wa maumbile ya binadamu wa 2017 ulionyesha kuwa Wapeloponesi hawana mchanganyiko kidogo na watu wa nchi ya Slavic na wako karibu zaidi na Wasisilia na Waitaliano wa kusini. <ref>[[Stamatoyannopoulos, George]] et al., [http://www.nature.com/ejhg/journal/vaop/ncurrent/full/ejhg201718a.html Genetics of the Peloponnesian populations and the theory of extinction of the medieval Peloponnesian Greeks], European Journal of Human Genetics, 25.5 (2017), pp. 637–645</ref>
 
 
Katika karne ya 15 Milki ya Osmani ilianza kuvamia Ugiriki na hadi mwaka 1532 hivi Ugiriki wote pamoja na Peloponesi ilikuwa chini ya Milki ya Osmani.<ref name="EI2-239">Bées & Savvides (1993), p. 239</ref>
 
* Mwaka 1821 Vita ya Uhuru wa Ugiriki ilianza Kalamata kwenye Peloponesi <ref name="Clogg2002">{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=H5pyUIY4THYC|title=A Concise History of Greece|last=Richard Clogg|date=20 June 2002|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-00479-4|pages=35–42}}</ref> ikaendelea hadi kutambuiwa kwa Ugiriki kuwa nchi huru mnamo 1830..
 
== Miji ==
Miji mikubwa zaidi ya kisasa kwenye Peloponesi ni (sensa ya 2011):
 
Line 49 ⟶ 25:
* Sparta - wenyeji 19,854
* Nafplio - wenyeji 18,910
 
== MijiHistoria ==
[[Picha:Lions-Gate-Mycenae.jpg|thumb| Lango la Simba huko Mycenae .]]
[[Picha:Olympia_-_Temple_of_Hera_3.jpg|thumb| Hekalu la Hera, Olimpia .]]
Rasi hii iliona vipindi na watendaji muhimu katika historia ya Ugiriki ya Kale.
 
<nowiki>*</nowiki>Ustaarabu wa Mikene ulistawi manmo mwaka 1600 KK - 1100 KK ulikuwa eneo la maendeleo ya tekinolojia ya [[Zama za shaba|zama za bronzi]] katika Ulaya. [[Mikene]] ilikuwa mji kwenye kaskazini ya Peloponesi.
 
* Tangu mwaka 776 KK [[Michezo ya Olimpiki|Michezo ya]] [[Michezo ya Olimpiki|Olimpiki]] ilifanyika Olimpia kwenye magharibi mwa Peloponesi.
* Miji mikubwa ya kale [[Sparta]], [[Korintho]], Argos na Megalopolis zote zilikuwa kwenye Peloponesi na kwa muda mrefu ilishirikiana katika Shirikisho la Peloponesi.
* Kwenye miaka 431 KK - 404 KK vita ya Peloponesi iliona mapogano makali kati ya Sparta na Atheini.
* Tangu mwaka [[146 KK]] Peloponesi pamoja na Ugiriki yote ilikuja chini ya utawala wa Dola la Roma. Pamoja na sehemu zingine za Roma ya Kale hata hapa watu wengi walipokea dini mpya ya Ukristo.
* Baadaya kuporomoka kwa Dola la Rome [[Waslavi|makabila ya Waslavi]] walianza kuhamia Peloponesi; baada ya karne kadhaa Waslavi hao walikuwa wameshapokea Ukristo na kutumia lugha ya Kigiriki<ref>[[Stamatoyannopoulos, George]] et al., [http://www.nature.com/ejhg/journal/vaop/ncurrent/full/ejhg201718a.html Genetics of the Peloponnesian populations and the theory of extinction of the medieval Peloponnesian Greeks], European Journal of Human Genetics, 25.5 (2017), pp. 637–645</ref>
 
Katika karne ya 15 [[Milki ya Osmani]] ilianza kuvamia Ugiriki na hadi mwaka 1532 hivi Ugiriki wote pamoja na Peloponesi ilikuwa chini ya Milki ya Osmani.<ref name="EI2-239">Bées & Savvides (1993), p. 239</ref>
 
* Mwaka 1821 [[Vita ya Uhuru wa Ugiriki]] ilianza Kalamata kwenye Peloponesi <ref name="Clogg2002">{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=H5pyUIY4THYC|title=A Concise History of Greece|last=Richard Clogg|date=20 June 2002|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-00479-4|pages=35–42}}</ref> ikaendelea hadi kutambuiwa kwa Ugiriki kuwa nchi huru mnamo 1830..
 
== Marejeo ==
{{marejeo}} 
 
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons category}}
{{Wikivoyage}}
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/449351/Peloponnese Britannica.com]
* [https://web.archive.org/web/20080915060918/http://www.peloponnisos.gr/ Official Regional Government Website]
* [http://www.planetark.com/dailynewsstory.cfm/newsid/43988/story.htm Greek Fire Survivors Mourn Amid Devastation in Peloponnese].
* {{cite journal | doi=10.11141/ia.34.4 | title=Storing up Problems: Labour, Storage, and the Rural Peloponnese | journal=Internet Archaeology| issue=34 | year=2013 | last1=Stewart | first1=Daniel | doi-access=free }}
 
[[:Jamii:Ugiriki]]