Peloponesi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 27:
 
== Historia ==
[[Picha:Lions-Gate-Mycenae.jpg|thumb| Lango la Simba huko Mikeke ''(Mycenae)'' .]]
[[Picha:Olympia_-_Temple_of_Hera_3.jpg|thumb| Hekalu la Hera, Olimpia .]]
Rasi hii iliona vipindi na watendaji muhimu katika historia ya Ugiriki ya Kale.
Mstari 33:
*Ustaarabu wa Mikene ulistawi manmo mwaka 1600 KK - 1100 KK ulikuwa eneo la maendeleo ya tekinolojia ya [[Zama za shaba|zama za bronzi]] katika Ulaya. [[Mikene]] ilikuwa mji kwenye kaskazini ya Peloponesi.
 
* Tangu mwaka 776 KK [[Michezo ya Olimpiki]] ilifanyika [[Olimpia]] kwenye magharibi mwa Peloponesi.
* Miji mikubwa ya kale [[Sparta]], [[Korintho]], Argos na Megalopolis zote zilikuwa kwenye Peloponesi na kwa muda mrefu ilishirikiana katika Shirikisho la Peloponesi.
* Kwenye miaka 431 KK - 404 KK vita ya Peloponesi iliona mapogano makali kati ya Sparta na Atheini.