Tofauti kati ya marekesbisho "Peloponesi"

165 bytes added ,  miezi 7 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Location map of Peloponnese (Greece).svg|thumb|300px|Peloponesi katika Ugiriki]]
'''Peloponesi''' ([[Kigiriki]] Πελοπόννησος ''peloponesos'' ) ni [[rasi]] kwenye kusini ya [[Ugiriki]] . Imeunganishwa na sehemu ya bara ya nchi kwa shingo la nchi pale kwenye mji wa [[Korintho]]. Ghuba ya Korintho inatenganisha Peoponesi na Ugiriki bara.
 
Jina la kihistoria ya rasi lilikuwa Morea (Μωριάς ''morias'').
 
== Jiografia ==
[[Picha:Corinth, Greece (NASA).jpg|thumb|Shingo la nchi ya Korinto, mji wa Korinto upanda wa kushoto, mstari nyoofu wa Mfereji wa Korintho katikati ya picha]]
Rasi hiyo ina milima mingi na pwani lenye hori ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni Taygetos unaofikia mita 2,407 juu ya UB. Rasi yote inakabiliwa na [[mitetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara.
Ghuba ya Korintho inatenganisha Peoponesi na Ugiriki bara.
 
Rasi hiyo ina milima mingi na pwani lenye hori ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni Taygetos unaofikia mita 2,407 [[juu ya UB]]. Rasi yote inakabiliwa na [[mitetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara.
 
Mji mkubwa zaidi ni Patras yenye wakazi 170,000.