Jumba la Makumbusho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+majumba
Tag: 2017 source edit
Mstari 2:
[[File:Tan Sri Datuk Chang Joo Chiang Museum and Art Gallery.jpg|thumb|Makumbusho]]
 
'''Jumba la Makumbusho''' ni jengo au taasisi penye maonyesho ya vitu vya kale, kazi za sanaa, sampuli za malighafi au vifaa kwa ajili ya kutunza kumbukumbu ya jamii.
 
Mkusanyiko wa aina hii hulenga kuonyesha mifano ya sanaa, utamaduni, teknolojia au mazingira asilia kwa manufaa ya kuwaelimisha watazamaji.
 
Kuna majumba ya makumbusho ya aina mbalimbali yanayokazia fani fulani za elimu kama vile makumbusho ya historia, ya sanaa, ya teknolojia ya sayansi na kadhalika.
 
Kati ya majumba ya makumbusho mashuhuri duniani ni
* [[Louvre]] mjini [[Paris]]
* [[makumbusho ya Britania]] mjini [[London]]