Tofauti kati ya marekesbisho "Peloponesi"

281 bytes added ,  miezi 7 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:Location map of Peloponnese (Greece).svg|thumb|300px|Peloponesi katika Ugiriki]]
'''Peloponesi''' ([[Kigiriki]] Πελοπόννησος ''peloponesos'' ) ni [[rasi]] kwenyeya [[kusini]] yamwa [[Ugiriki]] . ImeunganishwaImeunganika na sehemu ya [[bara ]] ya nchi kwa [[shingo la nchi pale]] kwenye [[mji]] wa [[Korintho]].
 
[[Jina]] la [[Historia|kihistoria]] yala rasi lilikuwa Morea (Μωριάς ''morias'').
 
Eneo lote la Peloponesi ni [[kilomita za mraba]] 21,549. Kuna [[watu]] 1,155,000 walioishi hapa kwenyehuko [[mwaka]] [[2011]].
 
Peninsula imegawanywa kati ya [[mikoa]] mitatu ya kiutawala: sehemu kubwa ni ya mkoa wa PeloponnesePeloponesi, na sehemu ndogo ni za mkoa wa Ugiriki Magharibi na Atticawa Attica.
 
== Jiografia ==
[[Picha:Corinth, Greece (NASA).jpg|thumb|300px|Shingo la nchi yala Korintho, mji wa Korintho ukiwa upande wa kushoto, mstari nyoofu wa Mfereji wa Korintho katikati ya picha]]
[[Ghuba ya Korintho]] inatenganisha Peloponesi na Ugiriki bara.
 
Rasi hiyo ina [[milima]] mingi na [[pwani]] lenyeyenye [[hori]] ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni [[Taygetos]] unaofikia [[mita]] 2,407 [[juu ya UB]]. Rasi yote inakabiliwa na [[mitetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara.
 
[[Mji]] mkubwa zaidi ni [[Patras]] yenye wakazi 170,000.
 
=== Miji ===
Miji mikubwa zaidi ya kisasa kwenye Peloponesi ni ([[sensa]] ya 2011):
 
* Patras - wenyeji 170,896
* [[Kalamata]] - wenyeji 62,409
* [[Korintho]] - wenyeji 38,132
* [[Tripoli (Ugiriki)|Tripoli]] - wenyeji 30,912
* [[Aigio]] - wenyeji 26,523
* [[Pyrgos]] - wenyeji 25,180
* [[Argos]] - wenyeji 24,700
* [[Sparta]] - wenyeji 19,854
* [[Nafplio]] - wenyeji 18,910
 
== Historia ==
[[Picha:Lions-Gate-Mycenae.jpg|thumb| Lango la Simba huko MikekeMikene ''(Mycenae)'' .]]
[[Picha:Olympia_-_Temple_of_Hera_3.jpg|thumb| Hekalu la Hera, Olimpia .]]
Rasi hii iliona vipindi na watendaji muhimu katika [[historia ya Ugiriki]] [[ugiriki ya Kale|ya Kale]].
* [[Ustaarabu]] wa [[Mikene]] ulistawi manmo mwakamnamo [[1600 KK]] - [[1100 KK]] ulikuwa eneo la [[maendeleo]] ya [[tekinolojia]] ya [[Zama za shaba|zama za bronzi]] katika [[Ulaya]]. [[Mikene]] ilikuwa mji kwenye [[kaskazini]] yamwa Peloponesi.
 
* Tangu mwaka [[776 KK]] [[Michezo ya Olimpiki]] ilifanyika [[Olimpia]] kwenye [[magharibi]] mwa Peloponesi.
*Ustaarabu wa Mikene ulistawi manmo mwaka 1600 KK - 1100 KK ulikuwa eneo la maendeleo ya tekinolojia ya [[Zama za shaba|zama za bronzi]] katika Ulaya. [[Mikene]] ilikuwa mji kwenye kaskazini ya Peloponesi.
* Miji mikubwa ya kale [[Sparta]], [[Korintho]], [[Argos]] na [[Megalopolis]] zoteyote zilikuwailikuwa kwenye Peloponesi na kwa muda mrefu ilishirikiana katika [[Shirikisho la Peloponesi]].
 
* Kwenye miaka [[431 KK]] - [[404 KK]] [[vita ya Peloponesi]] iliona mapoganomapigano makali kati ya Sparta na Atheini[[Athens|Atheni]].
* Tangu mwaka 776 KK [[Michezo ya Olimpiki]] ilifanyika [[Olimpia]] kwenye magharibi mwa Peloponesi.
* Tangu mwaka [[146 KK]] Peloponesi pamoja na Ugiriki yote ilikuja chini ya [[utawala]] wa [[Dola la Roma]]. Pamoja na sehemu zinginenyingine za [[Roma ya Kale]] hata hapa watu wengi walipokea [[dini]] mpya ya [[Ukristo]].
* Miji mikubwa ya kale [[Sparta]], [[Korintho]], Argos na Megalopolis zote zilikuwa kwenye Peloponesi na kwa muda mrefu ilishirikiana katika Shirikisho la Peloponesi.
* BaadayaBaada ya kuporomoka kwa Dola la RomeRoma [[Waslavi|makabila ya Waslavi]] walianza kuhamia Peloponesi; baada ya [[karne]] kadhaa Waslavi hao walikuwa wameshapokea Ukristo na kutumia [[lugha]] ya [[Kigiriki]]<ref>[[Stamatoyannopoulos, George]] et al., [http://www.nature.com/ejhg/journal/vaop/ncurrent/full/ejhg201718a.html Genetics of the Peloponnesian populations and the theory of extinction of the medieval Peloponnesian Greeks], European Journal of Human Genetics, 25.5 (2017), pp. 637–645</ref>
* Kwenye miaka 431 KK - 404 KK vita ya Peloponesi iliona mapogano makali kati ya Sparta na Atheini.
* Katika [[karne ya 15]] [[Milki ya Osmani]] ilianza kuvamia Ugiriki na hadi mwaka [[1532]] hivi Ugiriki woteyote pamoja na Peloponesi ilikuwa chini ya Milki ya Osmani.<ref name="EI2-239">Bées & Savvides (1993), p. 239</ref>
* Tangu mwaka [[146 KK]] Peloponesi pamoja na Ugiriki yote ilikuja chini ya utawala wa Dola la Roma. Pamoja na sehemu zingine za Roma ya Kale hata hapa watu wengi walipokea dini mpya ya Ukristo.
* Mwaka [[1821]] [[Vita ya Uhuru wa Ugiriki]] ilianza Kalamata kwenye Peloponesi <ref name="Clogg2002">{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=H5pyUIY4THYC|title=A Concise History of Greece|last=Richard Clogg|date=20 June 2002|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-00479-4|pages=35–42}}</ref> ikaendelea hadi kutambuiwakutambuliwa kwa Ugiriki kuwa [[nchi huru]] mnamo [[1830.]].
* Baadaya kuporomoka kwa Dola la Rome [[Waslavi|makabila ya Waslavi]] walianza kuhamia Peloponesi; baada ya karne kadhaa Waslavi hao walikuwa wameshapokea Ukristo na kutumia lugha ya Kigiriki<ref>[[Stamatoyannopoulos, George]] et al., [http://www.nature.com/ejhg/journal/vaop/ncurrent/full/ejhg201718a.html Genetics of the Peloponnesian populations and the theory of extinction of the medieval Peloponnesian Greeks], European Journal of Human Genetics, 25.5 (2017), pp. 637–645</ref>
 
Katika karne ya 15 [[Milki ya Osmani]] ilianza kuvamia Ugiriki na hadi mwaka 1532 hivi Ugiriki wote pamoja na Peloponesi ilikuwa chini ya Milki ya Osmani.<ref name="EI2-239">Bées & Savvides (1993), p. 239</ref>
 
* Mwaka 1821 [[Vita ya Uhuru wa Ugiriki]] ilianza Kalamata kwenye Peloponesi <ref name="Clogg2002">{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=H5pyUIY4THYC|title=A Concise History of Greece|last=Richard Clogg|date=20 June 2002|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-00479-4|pages=35–42}}</ref> ikaendelea hadi kutambuiwa kwa Ugiriki kuwa nchi huru mnamo 1830..
 
== Marejeo ==
* [http://www.planetark.com/dailynewsstory.cfm/newsid/43988/story.htm Greek Fire Survivors Mourn Amid Devastation in Peloponnese].
* {{cite journal | doi=10.11141/ia.34.4 | title=Storing up Problems: Labour, Storage, and the Rural Peloponnese | journal=Internet Archaeology| issue=34 | year=2013 | last1=Stewart | first1=Daniel | doi-access=free }}
{{mbegu-jio-Ugiriki}}
 
[[:Jamii:Jiografia ya Ugiriki]]