Alkibiades : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Alcibades being taught by Socrates, François-André Vincent.jpg|thumb|Alkibiades akifundishwa na Sokrates (taswira ya <bdi>François-André Vincent</bdi> (1746–1816))]]
'''Alkibiades, mwana wa Kleinias''' ( Ἀλκιβιάδης, mnamo [[450 KK]] - [[404 KK]]) alikuwa [[mwanasiasa]], mhutubu na [[mwanajeshi]] mashuhuri kutoka [[Mji|mjini]] [[Athini]] katika [[Ugiriki ya Kale]]. Alikuwa na [[Jukumu|majukumu]] muhimu wakati wa [[Vita ya Peloponesi]] kati ya [[Sparta]] na Athini.
 
==Maisha==
Alizaliwa katika [[familia]] [[tajiri]]. [[Mwanafalsafa]] [[Sokrates]] alikuwa [[mwalimu]] wake.<ref>http://praxeology.net/sqalcibiades.htm</ref>
 
Wakati wa vita ya ÜpeloponesiPeloponesi Alkibiades alibadilisha utii wake wa kisiasa mara kadhaa. Kwake nyumbani Atheni alipigania [[sera za kigeni]] yaZza kushambulia pamoja na [[kampeni]] dhidi ya miji ya [[Sisilia]] mnamo [[415 KK]]. Alipokosolewa na kushtakiwa baada ya kampeni hiyo akakimbiaakakimbilia Sparta alipokuwa mshauri wa maadui wa Athini. Baada ya kukutakupata maadui pale Sparta pia aliendelea kukimbia hadi [[Uajemi ya Kale|Milki ya Uajemi]]. Baadaye [[Rafiki|marafiki]] zake wa Athini waliomba arudi, hivyo akarudi akaongoza tena [[jeshi]] la Athini katika mapigano dhidi ya Sparta.
 
Baada ya kufaulu hapakushinda, wapinzani waliogopa atapata [[mamlaka]] kubwa mno akaamriwa kuondoka mjini Athini. AlikimbiaAlikimbilia tena upande Milki ya Uajemi. HapaHuko aliuawa mwaka [[404 KK]] na [[askari]] Waajemi, wengine wanasema kufuatana na maombi ya [[viongozi]] wa Sparta.
 
== Marejeo ==
Line 12 ⟶ 13:
 
== Viungo vya nje ==
 
** {{cite web|title=Alcibiades was an Athenian general in the Peloponnesian War|website=Bingley|url=http://ancienthistory.about.com/cs/people/a/alcibiades.htm}}
** {{cite web|title=Alcibiades|website=Endres, Nikolai|url=http://www.glbtq.com/social-sciences/alcibiades.html|access-date=22 September 2006|archive-url=https://web.archive.org/web/20060905000755/http://www.glbtq.com/social-sciences/alcibiades.html|archive-date=5 September 2006|url-status=dead|accessdate=2021-03-10|archivedate=2006-09-05|archiveurl=https://web.archive.org/web/20060905000755/http://www.glbtq.com/social-sciences/alcibiades.html}}
Mstari 24:
*** {{cite web|title=Alcibiades and the Sicilian Expedition|website=Rubio, Alexander G|url=http://www.bitsofnews.com/content/view/3686/42/|access-date=5 August 2006|archive-url=https://web.archive.org/web/20070927021737/http://www.bitsofnews.com/content/view/3686/42/|archive-date=2007-09-27|url-status=dead|accessdate=2021-03-10|archivedate=2007-09-27|archiveurl=https://web.archive.org/web/20070927021737/http://www.bitsofnews.com/content/view/3686/42/}}
*** {{cite web|title=Plato, Thucydides, and Alcibiades|website=Syse, Henrik|url=http://www.prio.no/files/file46404_thucydides_draft_henrik_syse.doc|access-date=5 August 2006|url-status=dead|archive-url=https://web.archive.org/web/20070705050414/http://www.prio.no/files/file46404_thucydides_draft_henrik_syse.doc|archive-date=July 5, 2007}}
{{BD|450 KK|404 KK}}
 
[[Jamii:Watu wa Ugiriki ya Kale]]