Petro, Dorotheo na Gorgoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Petro, Dorotheo na Gorgoni''' (walifariki Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, 303) walikuwa Wakristo waliofanya kazi katika ikulu wa...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Martyr de saint Gorgon.jpg|thumb|[[Mchoro mdogo]] wa [[kifodini]] cha Gorgoni <ref>Jacobi a Voragine (cur. Th. Graesse), ''Legenda aurea'' (Lipsia, 1850), p. 601.</ref>.]]
'''Petro, Dorotheo na Gorgoni''' (walifariki [[Nikomedia]], leo [[Izmit]] nchini [[Uturuki]], [[303]]) walikuwa [[Wakristo]] waliofanya kazi katika [[ikulu]] wa [[kaisari]] [[Dioklesyano]] katika [[mji]] huo ambao waliuawa kwa kulalamikia wazi [[mauaji]] ya [[Migdoni na wenzake]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/44690</ref>.