Wikipedia:Kufuta makala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 16:
# '''Ukurasa wa majaribio''', kama vile "Je! Ninaweza kuunda ukurasa hapa?".
# Marudio ya maudhui ambayo '''yamefutwa tayari.''' (Mfano mtu ameleta makala juu yake mwenyewe, iligunduliwa na kufutwa, anarudia kuleta makala akibadilisha jina kidogo lakini ni yeye yule)
# '''Kusafisha tovuti:''' mfano kama kuna makala maradufu kuhusu jambo lilelile, habari zimeshaunganishwa upande mmoja. Sasa tunapaswa kufuta makala nyingine au afadhali kutumia nafasi yake kama Kielekezo ''(<nowiki>#REDIRECT [[ukurasa lengwa]]</nowiki>)''.
# '''Mwandishi anaomba ufutaji:''' Ukurasa wowote ambao mwandishi wa asili anataka ufutwe, unaweza kufutwa haraka, mradi tu wengine hawajachangia katika matini yake. Ikiwa mwandishi mwenyewe anafuta maandishi, hii inaweza kumaanisha kuwa anataka ifutwe.
# '''Kurasa zinazotegemea kurasa zilizofutwa au ambazo hazipo''' zinaweza kufutwa, isipokuwa kama zina mjadala juu ya ufutaji ambao hauwezi kupatikana mahali pengine popote.