Wikipedia:Kufuta makala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
 
# Maudhui yote ni '''upuuzi''' '''dhahiri'''. Upuuzi ni pamoja na maudhui ambayo hayana maana. Hata hivyo, hii si pamoja na staili mbaya, lugha mbaya, uharibifu, habari bandia.
# Kurasa zinazoaandikwa kwa lugha ya Kigeni (mfano mtumiaji mgeni analeta maudhui ya Kiingereza na kuunda amakala; tufute, isipokuwa anaruhusiwa kwenye ukurasa wake wa mtumiaji)
# '''Ukurasa wa majaribio''', kama vile "Je! Ninaweza kuunda ukurasa hapa?".
# Marudio ya maudhui ambayo '''yamefutwa tayari.''' (Mfano mtu ameleta makala juu yake mwenyewe, iligunduliwa na kufutwa, anarudia kuleta makala akibadilisha jina kidogo lakini ni yeye yule)