Brandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Martell_in_brandy_snifter.jpg|right|thumb| Bilauri ya Brandi]]
'''Brandi''' (ing. brandy) ni ni [[kinywaji]] cha [[alikoholi]] kilichotengenezwa kutoka kwa jusi ya mizabibu au pia matunda mengine.

==Rangi na ukali==
Kuna aina nyingi, kwa kawaida huuzwa ikiwa na viwango vya alikoholi kati ya asilimia 35- 60.<ref>{{Cite web|url=http://www.greatcocktails.co.uk/TheHistoryOfBrandy.html|title=The History of Brandy}}</ref>
 
Rangi yake ama kama maji au kahawia. Asili yake ni [[Ukenekaji|kukeneka]] kwa divai au juisi ya matunda iliyochachuka.