Antena : Tofauti kati ya masahihisho
d
Miali ni itolewayo na antena ni mawimbi ya redio
No edit summary |
d (Miali ni itolewayo na antena ni mawimbi ya redio) |
||
[[File:136_to_174_MHz_base_station_antennas.jpg|thumb||Antena mbalimbali.]]
'''Antena''' au ''erio'' katika mambo ya [[redio]] na [[elektroniki]] ni [[waya|nyaya]] za kupokelea [[mawimbi]] ya [[sauti]]. Antena kwa maneno mengine ni kifaa kitumiacho [[umeme]] kubadili nguvu ya umeme kuwa mawimbi ya [[sauti|redio]] na kinyume chake.
Mara nyingi antena hutumiwa pamoja na [[transmita]] (kifaa cha kurushia mawimbi ya redio) au [[risiva]] (kifaa cha kupokelea mawimbi ya redio). Katika urushaji wa mawimbi, transmita ya redio huipa antena nguvu ya kiumeme ([[mkondo wa umeme]]) katika ''ncha'' zake na hivyo antena hutoa
Kwa upande wa risiva, antena hupokea mawimbi ya redio yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].
Antena ni vifaa muhimu sana kwa vifaa vyote vitumiavyo mawimbi ya redio. Hutumika katika mifumo mbalimbali kama vile [[mitambo]] ya kurushia matangazo ya redio, matangazo ya [[televisheni]], risiva za [[mawasiliano]], [[rada]], [[simu ya mkononi]], [[satelaiti]] na vitu vingine kama vile vifaa vya kufungulia milango ya [[karakana]] (''[[gereji]]''), mitandao ya [[kompyuta]] isiyotumia nyaya na kadhalika.<ref>For example http://www.telegraph.co.uk/science/science-news/7810454/British-scientists-launch-major-radio-telescope.html; http://www.ic.gc.ca/eic/site/smt-gst.nsf/eng/sf09377.html; {{cite web|url=http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |title=Archived copy |accessdate=2013-10-19 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20131020095753/http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |archivedate=2013-10-20 |df= }}</ref><ref>https://books.google.co.tz/books?id=uah1PkxWeKYC&pg=PA29&redir_esc=y</ref>
|