Brandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Martell_in_brandy_snifter.jpg|right|thumb| Bilauri ya Brandi]]
'''Brandi''' (ing.kutoka [[Kiingereza]]: ''brandy'') ni ni [[kinywaji]] cha [[alikoholi]] kilichotengenezwa kutokakutokana kwana jusi ya mizabibu[[zabibu]] au pia [[matunda]] mengine.
 
==Rangi na ukali==
Kuna aina nyingi, kwa kawaida huuzwa ikiwa na viwango vya alikoholi kati ya [[asilimia]] 35- 60.<ref>{{Cite web|url=http://www.greatcocktails.co.uk/TheHistoryOfBrandy.html|title=The History of Brandy}}</ref>
 
[[Rangi]] yake amani kama [[maji]] au [[kahawia]]. [[Asili]] yake ni [[Ukenekaji|kukeneka]] kwa [[divai]] au [[juisi]] ya matunda iliyochachuka.
 
Pale inapotoka kwenye chombo cha kukeneka haina rangi sawa na maji. Lakini aina mbalimbali huiva katika [[pipa|mapipa]] ya ubao[[mbao]] na hapo rangi hubadilika kuwa ya kikahawia.
 
== Brandi ya divai ==
Kufuatana na [[sheria]] za [[Umoja wa Ulaya]] "brandy" inapaswa kutengenezwa kutoka [[divai]] pekee ikiiva baadaye katika mapipa ya ubaombao. Inaruhusiwa kuongeza [[sukari]]. Aina mashuhuri za brandi za divai ni kama vile Cognac (tamka ''kon-yak'', ni asili ya jina la Kiswahili [[konyagi]]) na Armagnac kutoka [[Ufaransa]], Brandy de Jerez kutoka [[Hispania]].
 
Nchi zote zinazotengeneza divai zinajua pia brandi zinazopatikana kwa kutumia [[ganda|maganda]] ya [[mazabibuzabibu]] yaliyoondolewa juisi tayari ilhali mabaki bado yapo; mabaki hayo huongezwahuongezewa maji na kuchachua, matokeo hukenekwa. Grappa waya [[Italia]] hupatikana kwa njia hiyo.
 
Katika nchi za [[Mashariki ya kati]] brandi ya divai au maganda ya divai huongezwahuongezewa [[ladha]] hasa kwa kutumia [[mbegu]] za '''''pimpinella anisum''''' ''(aniseed)'' na hii inaleta ouzoOuzo ya [[Ugiriki]], rakiRaki ya [[Uturuki]] na arrakArrak ya [[Waarabu]].
 
== Brandi ya matunda ==
Kimsingi inawezakanainawezekana kutumia matunda yoyote kwa brandi ya matunda kwa ukenekaji wa brandi, ama kwa kutoa juisi au kusaga tunda lote halafu kuichachua, kama kiwango cha sukari ndani ya tunda kinatosha.
 
Watumiaji hupenda ladhaa maalum inayotokana na kila tunda,.
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Vileo]]