John Magufuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 30:
Aliwahi kuwa [[mbunge]] wa jimbo la Biharamulo Mashariki katika [[bunge]] la kitaifa huko nchini [[Tanzania]] na tangu mwaka [[2010]] [[waziri]] wa [[ujenzi]].<ref>{{Cite web|url=http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_409.html|title= Mengi kuhusu John Pombe Joseph Magufuli|date=18 Februari 2008|accessdate=11 Novemba 2011}}</ref>
 
Tarehe [[12 Julai]] [[2015]] alichaguliwa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia [[Chama cha Mapinduzi]] akiwa na mgombea mwenza [[Samia Suluhu HassaniHassan]].
 
Tarehe [[29 Oktoba]] 2015 [[Tume ya Taifa ya Uchaguzi]] ilimtangaza kuwa [[rais]] wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] kwa ushindi wa [[kura]] 8,882,935 sawa na 58.46[[%]] pamoja na makamu wa rais Samia Suluhu Hassani.
Mstari 36:
Tarehe [[5 Novemba]] 2015 aliapishwa kama rais wa tano wa [[Tanzania]], ingawa upinzani haukukubali matokeo hayo.
 
Baada ya uchaguzi wa tarehe [[28 Oktoba]] 2020 [[Tume ya Taifa ya Uchaguzi]] ilimtangaza tena mshindi pamoja na makamu wa rais [[Samia Suluhu Hassan]] kwa [[kura]] 12,516,252 sawa na 84.4[[%]] ingawa kulikuwa na malalamiko makubwa<ref>"Magufuli wins re-election in Tanzania; opposition cries foul", Al Jazeera, 30 October 2020 https://www.aljazeera.com/news/2020/10/30/magufuli-wins-re-election-in-tanzania-says-electoral-commission</ref>.
 
==Elimu==