Netsai Mukomberanwa : Tofauti kati ya masahihisho

Mchongaji/Mchoraji wa Zimbabwe
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Netsai Mukomberanwa''' ni mchongaji sanamu kutokea Zimbabwe.Ni mchongaji sanamu wa kizazi cha pili cha sanaa za Shona wanaitumia mawe katika uchongaji. H...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:00, 20 Machi 2021

Netsai Mukomberanwa ni mchongaji sanamu kutokea Zimbabwe.Ni mchongaji sanamu wa kizazi cha pili cha sanaa za Shona wanaitumia mawe katika uchongaji. Hutumia mchana wake kuzalisha kazi zake katika shamba la familia huko Zuwa. Kazi yake ya msingi ni ualimu wa shule ya msingi.

Netsai ni mwanachama wa familia mashuhuri ya wasanii ya Mukomeranwa. Ni binti wa mchongaji wa kizazi cha kwanza cha uchongaji wa kishona Nicholas Mukomberanwa na Grace Mukomberanwa. Ni dada wa wachongaji Anderson, Ennica, Taguma, Tendai Mukomberanwa na Lawrence Mukomberanwa, na ni binamu wa Nesbert Mukomberanwa.

Tuzo

  • Tuzo ya wachonaji wadogo wa kike - 2014 Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-10-18. Iliwekwa mnamo 2014-10-14.</ref>*Mwanachama wa kamati ya sanaa za maonyesho Harare [1]

Marejeo