Osiris : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 7:
Alikuwa kaka na mume wa [[Isis]] . Walikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa [[Horus]].
Katika masimulizi ya Wamisri Osiris [[Kuua kwa kukusudia|aliuawa]] na kaka yake Set lakini Isis alifaulu kumrudisha katika uhai. Mama ya Osiris alikuwa [[Miungu|mungu]] [[Nati|wa kike Nut]], baba Geb<ref name="Wilkinson2">{{cite book|url=https://archive.org/details/completegodsgodd00wilk_0/page/105|title=The Complete Gods and Goddesses of Ancient Egypt|last=Wilkinson|first=Richard H.|publisher=Thames & Hudson|year=2003|isbn=978-0-500-05120-7|location=London|page=[https://archive.org/details/completegodsgodd00wilk_0/page/105 105]|url-access=registration}}</ref>, dada Nephthys, na dada na vile vile mke [[Isis]], insi ilivyo kawaida katika familia za Kifalme za Misri ambako maea nyingi dada na kaka walioana. <ref name="Wilkinson">{{Cite book|title=The Complete Gods and Goddesses of Ancient Egypt|last=Wilkinson, Richard H.|publisher=Thames & Hudson|year=2003|isbn=0-500-05120-8|location=London|page=105|doi=|oclc=}}</ref>
== Mungu mpendwa katika Misri ==
Mstari 13:
== Kazi yake ==
Osiris alikuwa mungu wa kuzimu. Jukumu moja kama bwana wa kuzimu ilikuwa kufanya hukumu ya mwisho kabisa ya wafu
== Mwonekano ==
|