Ulimwengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Ulimwengu" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Makala hii inajadili "Ulimwengu" kama jumla ya vitu vyote; kwa habari za sayari tunapoishi anagala [[Dunia]]</sup>
 
[[Picha:Hubble ultra deep field.jpg|thumb|300px|Nyota na galaksi za anga-nje kwenye jicho la [[darubini ya Hubble]]]]
'''Ulimwengu''' ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha [[dunia]] yetu pamoja na kila kitu ndani yake, [[jua]] letu, [[mfumo wa jua]], [[sayari]], [[nyota]], [[galaksi]] na kila kitu. Ni jumla ya [[mata]], [[nishati]] na [[anga]] la dunia pamoja na [[anga-nje]].