Ulimwengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
[[Picha:Hubble ultra deep field.jpg|thumb|300px|Nyota na galaksi za anga-nje kwenye jicho la [[darubini ya Hubble]]]]
'''Ulimwengu''' ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha [[duniaDunia]] yetu pamoja na kila kitu ndani yake, [[jua]] letu, [[mfumo wa jua]], [[sayari]], [[nyota]], [[galaksi]] na kila kitu. Ni jumla ya [[mata]], [[nishati]] na [[anga]] la duniaDunia pamoja na [[anga-nje]].
 
== Yasiyo ulimwengu ==
Mambo mengine kama dhana, fikra na [[imani]] mara nyingi hazihesabiwi kuwa sehemu ya ulimwengu kwa sababu hazifuati [[kanuni asilia za kimaumbile]]. Kwa imani ya [[Wayahudi]], [[Wakristo]], [[Waislamu]] na wengineo [[Mungu]] si sehemu ya ulimwengu bali [[asili]] au sababu ya ulimwengu.
 
== Ulimwengu, duniaDunia, anga ==
Kwa [[Kiswahili]] cha kila siku mara nyingi hakuna tofauti kati ya ''duniaDunia'' na ''ulimwengu''. Lakini kama [[lugha]] inataka kujadili habari kwa undani pamoja na [[ujuzi]] wa siku zetu kuna ulazima wa kutofautisha kati ya [[ngazi]] mbalimbali za [[mazingira]] tunamoishi.
 
Kwa maana hiyo duniaDunia ni hasa sayari tunapoishi. Zamani [[watu]] waliona duniaDunia kwa maana hiyo ni sawa na ulimwengu wote. Lakini [[maendeleo]] ya [[sayansi]] yametuonyesha upeo mkubwa zaidi uliopo ng'ambo ya sayari yetu na hata ng'ambo ya [[mfumo wa jua]] letu na sayari zake. Kwa hiyo [[neno]] "ulimwengu" limekuwa muhimu kwa sababu linalenga kiasili kwa jumla la vitu vyote si kwa sayari yetu hasa.
 
Katika [[Wikipedia ya Kiswahili|Wikipedia hii]] tunatumia neno "ulimwengu" kama [[Kiingereza]] ''[[:en:universe|universe]] au [[:en:cosmos|cosmos]]''. "Dunia" tunatumia kwa maana ya Kiingereza ''[[:en:earth|earth]]''. Wakati mwingine lugha za [[Ulaya]] zinatumia "universe" karibu sawa na "space" au "outer space" zikimaanisha nafasi kubwa ulimwenguni nje ya duniaDunia yetu. Hali halisi duniaDunia yetu ni ndogo sana ulimwenguni na kwa hiyo upeo wa "space" ni karibu sawa na upeo wa "universe". Lakini lugha nyingi zinatofautisha kati ya nafasi ile kubwa nje ya duniaDunia na dhana ya ulimwengu kama jumla ya vyote.
 
Kwa Kiswahili ni afadhali kutofautisha vilevile. Kwa kawaida tunatumia neno "anga" linalomaanisha kiasili kile kinachong'aa yaani mahali pa [[mwanga]] jinsi ilivyo anga juu yetu inayoangazwa na jua. Kutokana na maana hiyo ya msingi "anga" linamaanisha yote ambayo ni juu yetu. Hivyo "anga" linataja mara nyingi [[angahewa]] ya duniaDunia, au yale ya [[buluu]] yanayoonekana juu yetu. Lakini hutumiwa pia kwa nafasi kubwa nje ya angahewa. Hapa tunatumia pia lugha ya "[[anga-nje]]" tukitaka kutofautisha angahewa na ule uwazi mkubwa kati ya nyota na galaksi.
 
== Ulimwengu na sayansi ==
Mstari 21:
[[Astronomia]] ni sayansi inayotumia elimu ya [[fizikia]] na [[kemia]] kwa kutazama, kupima na kuchungulia vitu kwenye anga-nje. Mkono mmoja wa astronomia unaoshirikiana zaidi na [[falsafa]] ni [[kosmolojia]] inayoangalia hasa asili ya ulimwengu kulingana na kanuni asilia.
 
Mkono wa pekee ya [[biolojia]] inatafakari nafasi za uhai nje ya duniaDunia yetu kwa kushirikiana na astronomia.
 
[[Falsafa]] pamoja na sayansi mbalimbali inauliza maswali juu ya tabia na sifa za duniaDunia na matatozomatatizo ya kuitambua.
 
[[Theolojia]] pamoja na elimu ya kidini inatazama ulimwengu kama kazi ya Mungu inauliza maswali jinsi gani mapokeo ya kidini na maanddiko matakatifu yanalingana na mtazamo mpya wa sayansi juu ya ulimwengu.