Philippa Hobbs : Tofauti kati ya masahihisho

Msanii wa Afrika ya Kusini
Content deleted Content added
Kuanzisha ukurasa
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:07, 20 Machi 2021

Philippa Hobbs ni mwanahistoria na msanii na mkusanyaji wa amali za kihistoria wa Afrika kusini.Alizaliwa mwaka 1955 na na kumalza elimu yake kutika shule ya Mtakatifu Andrea mwaka 1972. Alisomea sanaa katika chuo cha sanaa cha Johannesburg kabla ya kumaliza shahada ya uzamili ya uchapishaji katika chuo kikuu cha sanaa Philadelphia. Aliendeleza elimu yake katika chuo kikuu cha Afrika kusini na Technikon Witwatersrand. [1]

Sanaa

Hobbs alialikwa kuchangia katika picha katika mradi wa haki za binadamu mwaka 1996 uliohusisha wasanii kufanya maonyesho kutika katiba ya Afrika ya kusini kifungu cha haki za binadamu. Hobbs' alihusika na kifungu cha 8: Uhuru wa kujieleza ambapo kazi yake ( kinyago) cha ulimi kilionyesha mzani katika kujieleza na matokeo yake. [2]

Kazi nyingine za Other works by Hobbs

Kufundisha

Hobbs alijifunza pia na kuhudhuria warsha katika studio yake ya uchapishaji ya Foot Pribt studio'.Studio ilianzishwa ili kutoa mafunzo shahir ya uchapishaji kwa wasanii chipukizi na wabobezi.


Marejeo