Osiris : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Standing_Osiris_edit1.svg|thumb|Osiris, bwana wa mauti, mwenye taji ya pekee na mwili wa kijani. Muguu yake imefungswa tayari katika kitambaa cha [[Mumia|mumia.]]]]
[[Picha:The judgement of the dead in the presence of Osiris.jpg|500px|thumb|Hukumu ya wafu mbele ya Osiris; upande wa kushoto roho inapimwa kwenye mizani]]
'''Osiris''' alikuwa mmoja wa [[miungu]] ya [[Misri ya Kale]]. Katika [[mitholojia]] ya Kimisri aliabudiwa kama
▲'''Osiris''' alikuwa mmoja wa [[miungu]] ya [[Misri ya Kale]]. Katika [[mitholojia]] ya Kimisri aliabudiwa kama [[Miungu|mungu]] wa [[uhai]], [[Mauti|kifo]], [[mafuriko]] ya [[Nile|mto Nile]], na maisha ya baadaye.
==Mitholojia==
Alikuwa [[kaka]] na [[mume]] wa [[Isis]]
Katika [[masimulizi]] ya [[Wamisri]] Osiris [[Kuua kwa kukusudia|aliuawa]] na kaka yake Set lakini Isis alifaulu kumrudisha katika uhai. [[Mama]]
== Mungu mpendwa katika Misri ==
[[Ustaarabu]] wa Misri ulimheshimu Osiris kama mungu mmojawapo lakini pia kama [[mfalme]] wa kwanza aliyedhaniwa kuwa na [[hekima]] na [[upole]]. Katika masimulizi yao aliwafundisha watu wa Misri kuachana na [[desturi]] ya kula [[nyama]] ya [[binadamu]] na kutoa binadamu kama [[sadaka]];
== Kazi yake ==
Osiris alikuwa mungu wa [[kuzimu]]. [[Jukumu]] moja kama bwana wa kuzimu ilikuwa kufanya [[hukumu]] ya mwisho kabisa ya wafu. Katika [[imani]] ya Misri, [[roho]] iliweza kukubaliwa katika kuzimu lakini wale waliokataliwa walizimika kabisa, ilhali hakuna mafundisho kuhusu [[adhabu]] au mateso.<ref>{{cite news|title=Letter: Hell in the ancient world. Letter by Professor J. Gwyn Griffiths|date=December 31, 1993|newspaper=[[The Independent]]|url=https://www.independent.co.uk/opinion/letter-hell-in-the-ancient-world-1470076.html}}</ref>. Osiris alihusika pia kuwalinda watu kutokana na hatari zilizohofiwa kutoka kuzimu kwa walio hai.
== Mwonekano ==
Osiris alichorwa kwenye [[Mchoro wa ukutani|taswira za ukutani]] kama
== Marejeo ==
Line 25 ⟶ 24:
*[http://www.aldokkan.com/religion/osiris.htm Osiris]—"Ancient Egypt on a Comparative Method"
*[https://www.ancient-egypt-online.com/osiris.html Osiris Egyptian God of the Underworld]
{{mbegu-dini}}
[[Jamii:Miungu ya Misri ya Kale]]
|