Uhispania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 68:
[[Mji mkuu]] ni [[Madrid]] ambayo ni pia [[mji]] mkubwa wa nchi.
 
Eneo la nchi ni [[km²]] 500505,000990 nalo lina wakazi 46.733.03847,450,795 ([[2018sensa]] ya [[mwaka]] [[2020]]).
 
[[Mfalme]] [[Felipe VI]] amevaa [[taji]] mwaka [[2014]], akishika nafasi ya [[baba]] yake [[Juan Carlos I]], anayeheshimiwa sana kwa sababu aliongoza [[taifa]] katika mabadiliko ya kutoka [[udikteta]] wa [[jenerali]] [[Francisco Franco]] kuelekea [[demokrasia]]. Hasa tendo la mfalme la kuzuia [[mapinduzi wa kijeshi]] linakumbukwa sana.
Mstari 120:
 
== Jiografia ==
[[Picha:Spain.png|thumb|250px|right|Ramani ya Hispania.]]
[[Image:ccaa-spain.png|[[Ramani]] ya majimbo 17 ya Hispania.]]
 
=== Miji mikubwa ===
* [[Madrid]] ni [[mji mkuu]] - wakazi 3,200,000.
Mstari 135:
 
==Watu==
Wakazi walio wengi (8984.678[[%]]) ni Wahispania asili, lakini uhamiaji mkubwa wa miaka ya mwisho umeleta watu wengi hasa kutoka [[Amerika ya Kilatini]], [[Afrika Kaskazini]], [[Ulaya Mashariki]] n.k.
 
[[Lugha]] rasmi ni [[Kihispania]] inayozungumzwa nyumbaninnyumbani na 74% za watu lakini majimbo 17 yamepewa mamlaka ya kujitawala katika mambo mbalimbali pamoja na sera za kiutamaduni, hivyo lugha za [[Kikatalunya]] (17%), [[Kigalicia]] (7%), [[Kibaski]] (2%) na [[Kioccitan]] zimekuwa [[lugha rasmi]] za kijimbo pamoja na Kihispania.
 
Wahispania walio wengi (6761%) ni waamini wa [[Kanisa Katoliki]]. 2534% hawana [[dini]] yoyote.
 
== Picha ==
Mstari 145:
Image:Spain Andalusia Cordoba BW 2015-10-27 12-15-09.jpg|[[Daraja]] lililojengwa zamani za [[Dola la Roma]] huko Cordoba
Image:Spain Andalusia Cordoba BW 2015-10-27 13-54-14.jpg|[[Mezquita]] (=[[msikiti]] wa zamani) huko [[Cordoba]]
Image:ccaa-spain.png|[[Ramani]] ya majimbo ya Hispania
Image:Sagradafamilia-overview.jpg|[[Kanisa]] la [[Sagrada Familia]] mjini Barcelona
Image:AZCA (Madrid) 01.jpg|Madrid