Mbadili jinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Habari za filamu hazina uhusiano na "wasenge". Wako pia wavuvi wanaopenda kujionzesha katika filam.
Mstari 1:
'''Msenge''' (kwa [[Kiingereza]]: [[:simple:Transgender|Transgender]]) ni [[neno]] la kutaja aina ya [[watu]] ambao hujisikia, hujifikiria na kujiona au kujiigiza tofauti na [[jinsia]] zao za kuzaliwa nazo. [[Kundi]] hili dogo hujumlisha watu [[Tendo la ndoa|wanaojamiana]] sawa na wengine, yaani [[mume]] na [[mke]], lakini wao ni [[mwanamume]] kwa mwanamume na kujisikia sawa na wenzao ilhali si sawa na wenzao.
 
Wasenge wengi hupenda kujiita [[mashoga]] na kujiona kwamba jinsia waliyozaliwa nayo si sahihi. Kuna baadhi ya wasenge hujiingiza katika masuala ya kucheza [[filamu]] za [[ngono]], hasa wasenge wa [[mabara]] ya [[Ulaya]], [[Asia]] na [[Amerika]].
 
Pia kuna wale wanaoitwa [[:simple:Transsexual|Transsexual]]: hawa ni miongoni mwa watu waliozaliwa na jinsia ya kiume wakataka wafanyiwe [[upasuaji]] ili wawe kama [[wanawake]] au kinyume chake. Mara nyingi wanaume ndio hutaka kuwa na viungo kama vya kike. Hata hivyo jinsia haiwezi kubadilishwa.<ref>A 2000 document from the Catholic Congregation for the Doctrine of the Faith concludes that the sex-change procedures do not change a person's gender in the eyes of the Church. "The key point", that document states, "is that the transsexual surgical operation is so superficial and external that it does not change the personality. If the person was a male, he remains male. If she was female, she remains female." The document also concludes that a "sex-change" operation could be morally acceptable in certain extreme cases, but that in any case transgender people cannot validly marry. Pope Benedict XVI denounced gender studies, warning that it blurs the distinction between male and female and could thus lead to the "self-destruction" of the human race. He warned against the manipulation that takes place in national and international forums when the term "gender" is altered. "What is often expressed and understood by the term 'gender,' is definitively resolved in the self-emancipation of the human being from creation and the Creator", he warned. "Man wants to create himself, and to decide always and exclusively on his own about what concerns him." The Pontiff said this is humanity living "against truth, against the creating Spirit". As well, in 2015, the Vatican declared that transgender Catholics cannot become godparents, stating in response to a transgender man's query that transgender status "reveals in a public way an attitude opposite to the moral imperative of solving the problem of sexual identity according to the truth of one's own sexuality" and that, "[t]herefore it is evident that this person does not possess the requirement of leading a life according to the faith and in the position of godfather and is therefore unable to be admitted to the position of godfather or godmother." The Roman Catholic Church has been involved in the outreach to LBGT community for several years and continues doing so in a variety of ways such as through Franciscan urban outreach centers, namely, the "Open Hearts" outreach in Hartford, CT.</ref>.