Mji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 10:
Miji yenye wakazi wengi kuliko mingine ni [[Chongqing]], [[Tokyo]], [[Shanghai]], [[Jakarta]], [[Faiyumna]] na [[Varanasi]] na mingineyo.
 
== HadhiMiji ya miji kufuatanakiafrica na ya idadi ya wakazi watu==
 
Ranka "Estimated Metro Population"
 
1 Lagos, Nigeria 21.0 million
 
2 Cairo, Egypt 20.4 million
 
3 Kinshasa, Democratic Republic of the Congo 13.3 million
 
4 Luanda, Angola 6.5 million
 
5 Nairobi, Kenya 6.5 million
 
6 Mogadishu, Somalia 6.0 million
 
7 Abidjan, Ivory Coast 4.7 million
 
8 Alexandria, Egypt 4.7 million
 
9 Addis Ababa, Ethiopia 4.6 million
 
10 Johannesburg, South Africa 4.4 million
 
==Hadhi ya miji kufuatana na idadi ya wakazi ==
Kimataifa kulikuwa na makubaliano kwenye mkutano wa kimataifa ya takwimu ya mwaka 1887 ya kuhesabu kila mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 kama "mji mkubwa", miji kati ya wakazi 20,000 na 100,000 kama miji ya wastani na miji kati ya wakazi 5,000 na 20,000 kama miji midogo. Kufuatana na hesabu hii kulikuwa na miji mikubwa 1,700 duniani wakati wa mwaka 2002.
 
Line 18 ⟶ 42:
* Mji ("town") kwa miji midogo.
 
Mkuu wa mji huitwa mwenyekiti kwenye ngazi ya mji wa kawaida, na meya kwenye ngazi za manisipaa na jiji. Wanaongoza mikutano ya Halmashauri ya mji husika.
 
 
==Marejeo==