Tofauti kati ya marekesbisho "John Magufuli"

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
'''John Pombe Joseph Magufuli''' ([[29 Oktoba]] [[1959]] - [[17 Machi]] [[2021]]) alikuwa [[rais]] wa tano wa [[Tanzania]], akitokea katika [[Chama cha kisiasa|chama]] cha [[CCM]]. Aliongoza kwa miaka mitano na nusu hadi [[kifo]] chake.
 
Aliwahi kuwa [[mbungeMbunge]] wa jimbo la Biharamulo Mashariki katika [[bunge]] la kitaifa huko nchini [[Tanzania]] na tangu mwaka [[2010]] [[waziri]] wa [[ujenzi]].<ref>{{Cite web|url=http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_409.html|title= Mengi kuhusu John Pombe Joseph Magufuli|date=18 Februari 2008|accessdate=11 Novemba 2011}}</ref>
 
Tarehe [[12 Julai]] [[2015]] alichaguliwa kuwa mgombea urais wa [[Tanzania]] kupitia [[Chama cha Mapinduzi]] akiwa na mgombea mwenza [[Samia Suluhu Hassan]].
 
Tarehe [[29 Oktoba]] 2015 [[Tume ya Taifa ya Uchaguzi]] ilimtangaza kuwa [[rais]] wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] kwa ushindi wa [[kura]] 8,882,935 sawa na 58.46[[%]] pamoja na makamu wa rais Samia Suluhu Hassani.
552

edits