John Magufuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 28:
'''John Pombe Joseph Magufuli''' ([[29 Oktoba]] [[1959]] - [[17 Machi]] [[2021]]) alikuwa [[rais]] wa tano wa [[Tanzania]], akitokea katika [[Chama cha kisiasa|chama]] cha Mapinduzi [[CCM]]. Aliongoza kwa muda wa miaka mitano na nusu hadi [[kifo]] chake.
 
Aliwahi kuwa [[Mbunge]] wa jimbo la Biharamulo Mashariki katika [[bunge]] la kitaifa huko nchini [[Tanzania]] na tangu mwaka [[2010]] aliteuliwa kuwa [[waziriWaziri]] wa [[ujenzi]].<ref>{{Cite web|url=http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_409.html|title= Mengi kuhusu John Pombe Joseph Magufuli|date=18 Februari 2008|accessdate=11 Novemba 2011}}</ref>
 
Tarehe [[12 Julai]] [[2015]] alichaguliwa kuwa mgombea urais wa [[Tanzania]] kupitia [[Chama cha Mapinduzi]] akiwa na mgombea mwenza [[Samia Suluhu Hassan]].