Reni Folawiyo : Tofauti kati ya masahihisho

Mjasiriamali wa Nigeria
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Reni Folawiyo''' ni mwanasheria wa Kinigeria, mwanamitindo, mfanyabiashara na mwanzilisha wa Alara, duka la kwanza la mavazi na mitindo ya ghali Afrika magha...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:16, 27 Machi 2021

Reni Folawiyo ni mwanasheria wa Kinigeria, mwanamitindo, mfanyabiashara na mwanzilisha wa Alara, duka la kwanza la mavazi na mitindo ya ghali Afrika magharibi.[1][2] lililobuniwa na masanifu majengo mwenye asili ya Uingereza na Gana, David Adjaye[3] Anamiliki NOK na bustani ya NOK kukuza ladha ya kiafrika.[4]

Maisha ya Awali na Elimu

Folawiyo alizaliwa London akiwa ni mtoto wa hayati Chifu Lateef Adegbite, aliyekua mwanasheria mkuu wa Nigeria na Katibu mkuu wa Baraza kuu la Uislam Nigeria [5] na alikulia Abeokuta, jimbo la Ogun, Nigeria.[6]

Alisomea sheria ya biashara katika chuo kikuu cha Warwick, Uingereza na alirudi Nigeria kufanyia mazoezi katika shirika la sheria la baba yake.[7]

Maisha Binafsi

Aliolewa na mfanyabisahara wa Kinageria Tunde Folawiyo mwaka 1989 na wamebahatika kupata watoto wawili, Faridah and Fuaad.[8]

Marejeo

  1. "Get to know ALARA Founder Reni Folawiyo in inspired video from CLAN's 'She' series". www.pulse.ng (kwa en-US). 2019-02-26. Iliwekwa mnamo 2019-07-27. 
  2. "Sola Sobowale, Ibidunni Ighodalo, Nkechi Eze...Here are Nigeria's Most Inspiring Women in 2018". Leading Ladies Africa (kwa en-US). 2018-03-08. Iliwekwa mnamo 2019-07-27. 
  3. "RENI FOLAWIYO – THE ALÁRÁ OF NIGERIA’S FASHION INDUSTRY.". Nigerian Women Diary (kwa en-US). 2017-07-24. Iliwekwa mnamo 2019-07-27. 
  4. Searcey, Dionne. "A Rare Gem of a Restaurant in Lagos", The New York Times, 2017-10-21. (en-US) 
  5. editor (2019-04-14). "Sweethearts Forever: Tunde and Reni Folawiyo Celebrate 30th Wedding Anniversary". THISDAYLIVE (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-07-27. 
  6. Conway, Megan. "Redefining African Luxury in Lagos, Nigeria", Wall Street Journal, 2014-05-29. (en-US) 
  7. "RENI FOLAWIYO – THE ALÁRÁ OF NIGERIA’S FASHION INDUSTRY.". Nigerian Women Diary (kwa en-US). 2017-07-24. Iliwekwa mnamo 2019-07-27. 
  8. editor (2019-04-14). "Sweethearts Forever: Tunde and Reni Folawiyo Celebrate 30th Wedding Anniversary". THISDAYLIVE (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-07-27.