Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 4:
|Img_capt =
|Background = solo_singer
|Birth_name = NasibuNaseeb Abdul Juma Issack
|Alias = [[Dabby K]], [[Lydia Was]]
|Amezaliwa = {{birth date and age|mf=yes|1989|10|2|df=yes}}
Mstari 16:
}}
 
'''NasibuNaseeb AbduAbdul Juma Issack''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama '''Diamond Platnumz'''; majina mengine ya kisanii ni Chibu na Simba; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[mwimbaji]] wa [[nyimbo]] za [[Bongo Flava]] na [[dansa]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
 
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na mwimbaji tokea nchini [[Nigeria]] maarufu kama [[Davido]].