Homa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Homa katika Kenya
 
Mstari 7:
Mara nyingi homa husababishwa na [[ugonjwa]]; ni [[dalili]] ya kwamba [[kingamwili]] inapambana na [[vijidudu]] au [[vijimea]] vinavyosababisha ugonjwa fulani.
 
Homa si ugonjwa wenyewe bali dalili ya magonjwa mbalimbali. Katika [[lugha]] ya kila [[siku]] [[malaria]] mara nyingi huitwa "homa" ingawa kupanda kwa halijoto ya mwili wakati wa malaria ni dalili ya mapambano dhidi ya vijidudu vya [[plasmodium]] tu. Katika [[Kenya]] "homa" hutumiwa kumaanisha mafua, [[mafua ya kawaida]] hasa.
 
Hadi kiwango cha sentigredi 39 homa si [[hatari]] sana, lakini ikipanda juu ya 40°C inaanza kudhoofisha [[umbile]] la [[mtu]] hadi kuwa hatari yenyewe.