Philip Isdor Mpango : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Philip Isdor Mpango''' (amezaliwa katika [[wilaya ya Buhigwe]], [[Mkoa wa Kigoma]], [[14 Julai]] [[1957]]) ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]].
 
Aliteuliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] kwa [[Uteuzi wa rais]] [[John Magufuli]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]] <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>, halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini [[tarehe]] [[30 Machi]] [[2021]] aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa [[Makamu wa Rais]] wa Jamhuri ya Muungano<ref>https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/dk-philip-mpango-ni-nani--3342068</ref>.
 
==Marejeo==
<references/>
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
{{BD|1957|}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]