Domnio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mt. Domnio akishika [[Mkono|mkononi mji wa Split.]] '''Domnio''' (Antiokia, leo nchini Uturuki, karne ya 3 - [...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Saintduje.jpg|thumb|Mt. Domnio akishika [[Mkono|mkononi]] [[mji]] wa [[Split]].]]
'''Domnio''' (pia: '''Dujam, Duje, Doimus na Domninus'''; [[Antiokia]], leo nchini [[Uturuki]], [[karne ya 3]] - [[Salona]], leo [[Solin]] nchini [[Korasya|Kroasya]], [[304]]) alikuwa [[askofu]] wa Salona aliyeuawa kwa kukatwa [[kichwa]] katika [[dhuluma]] ya [[Dola la Roma]] kwa sababu ya [[imani]] yake<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/49220</ref>.
 
Inasemekana aliuawa pamoja na [[Wakristo]] wengine 7 wakati wa dhuluma ya [[kaisari]] [[Dioklesyano]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].