Tibursi, Valeriani na Masimo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tibursi, Valeriani na Masimo''' (walifariki mjini Roma, Italia, 229) walikuwa wanaume walioongokea Ukristo. Kwa sababu hiyo walit...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Tibursi, Valeriani na Masimo''' (walifariki [[Mji|mjini]] [[Roma]], [[Italia]], [[229]]) walikuwa [[wanaume]] walioongokea [[Ukristo]]. Kwa sababu hiyo waliteswa na kuuawa wakati wa [[dhuluma]] ya [[Dola la Roma]] dhidi ya Wakristo, chini ya [[kaisari]] [[Alexander Severus]].
 
Inasemekana Valeriani alikuwa [[mume]] wa [[Sesilia]] ambaye alimvuta katika Ukristo, naye akamvuta [[ndugu]] yake, Tibursi. Walipokamatwa, [[afisa]] Masimo aliamua kuwafuata akauawa siku chache baadaye<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/49450</ref>.
Tangu kale wanaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[watakatifu]] [[wafiadini]].