Tibursi, Valeriani na Masimo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:CeciliaValerianTiburtius.jpg|thumb|[[Mchoro]] wa [[Francesco Botticini]]: Wat. Sesilia, Valeriani na Tibursi.]]
'''Tibursi, Valeriani na Masimo''' (walifariki [[Mji|mjini]] [[Roma]], [[Italia]], [[229]]) walikuwa [[wanaume]] walioongokea [[Ukristo]]. Kwa sababu hiyo waliteswa na kuuawa wakati wa [[dhuluma]] ya [[Dola la Roma]] dhidi ya Wakristo, chini ya [[kaisari]] [[Alexander Severus]]<ref name=Kirsch>[http://www.newadvent.org/cathen/03471b.htm Johann Peter Kirsch, "St. Cecilia" in ''Catholic Encyclopedia'' (New York 1908)]</ref>.
 
Inasemekana Valeriani alikuwa [[mume]] wa [[Sesilia]] ambaye alimvuta katika Ukristo, naye akamvuta [[ndugu]] yake, Tibursi. Walipokamatwa, [[afisa]] Masimo aliamua kuwafuata akauawa siku chache baadaye<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/49450</ref>.
Line 5 ⟶ 6:
Tangu kale wanaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[watakatifu]] [[wafiadini]].
 
[[Sikukuu]] yake ni [[tarehe]] [[14 Aprili]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref> au [[22 Novemba]]<ref>[http://www.holytrinityorthodox.com/calendar/los/November/22-04.htm The Holy Martyress Cecelia (Cesilia) and the Holy Martyrs Valerian, Tiburtius and Maximus]</ref>.
 
==Tazama pia==