Leandri wa Sevilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
[[image:San Leandro.jpg|thumb|250px|'''Mt. Leandro''' alivyochorwa na [[Bartolomé Esteban Perez Murillo]].]]
'''Leandri wa Sevilia''' ([[Cartagena]], leo nchini [[Hispania]], [[534]] hivi - [[Sevilia]], Hispania, [[13 Machi]] [[600]] au [[601]]) alikuwa [[askofu mkuu]] wa Sevilia ambaye alifaulu kuingiza katika [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Uario]] [[Wavisigoti]] waliotawala Hispania na [[Ureno]] wa leo, kuanzia [[ermengild|Hermengildi]] na [[Rekaredo]], [[watoto]] wa [[mfalme]].
 
Tangu zamani anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]] na [[babu wa Kanisa]].