Vijasumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 43:
Bakteria huzaa kwa njia ya kujigawa na kuwa bakteria mbili ambazo ni sawa na seli asilia.
 
Bakteria ya kawaida huwa na [[kipenyo]] cha [[µm 1 ([[mikromita]] 1).
 
==Historia ya bakteriolojia==
Mstari 130:
 
===Endospora===
{{main|Endospora}}
[[File:Gram Stain Anthrax.jpg|thumb|250px|right|Bacillus anthracis (yenye doa la zambarau) inyokua kwenye ugiligili wa uti wa mgongo]]
Baadhi ya [[Jenasi|nasaba]] ya bakteria wa Gram-chanaya, kama vile Bacillus, Clostridium, Sporohalobacter, Anaerobacter na ''Heliobacterium,'' zinaweza kutengeneza maumbo yaliyotulia yenye uwezo kustahimili yaitwayo endospora.<ref>{{cite journal |author=Nicholson WL, Munakata N, Horneck G, Melosh HJ, Setlow P |title=Resistance of Bacillus endospores to extreme terrestrial and extraterrestrial environments |journal=Microbiology and Molecular Biology Reviews |volume=64 |issue=3 |pages=548–72 |year=2000 |month=September |pmid=10974126 |pmc=99004 |url=http://mmbr.asm.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=10974126 |doi=10.1128/MMBR.64.3.548-572.2000}}</ref> Karibu katika visa vyote, endospora moja hutengenezwa na huu siyo mchakato wa uzazi, ingawa ''Anaerobacter'' wanaweza kutengeneza endospora kwenye seli moja.<ref>{{cite journal |author=Siunov A, Nikitin D, Suzina N, Dmitriev V, Kuzmin N, Duda V |title=Phylogenetic status of Anaerobacter polyendosporus, an anaerobic, polysporogenic bacterium | url=http://ijs.sgmjournals.org/cgi/reprint/49/3/1119.pdf |journal=Int J Syst Bacteriol |volume=49 Pt 3 |issue=|pages=1119&ndash;24 | year =1999|pmid = 10425769|format=PDF}}</ref> Endospora huwa na kitovu muhimu cha satoplazimu chenye [[ADN]] na ribosomu iliyozungukwa na rusu ya gamba na kulindwa na ngozi ngumu isiyopenyeka.