Tofauti kati ya marekesbisho "Kundi la spektra"

38 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:Hertzsprung-Russel.png|350px|thumb|Nyota jinsi zinavyopatikana katika makundi ya spektra.]]
'''Kundi la spektra''' (kwa [[Kiingereza]]: ''spectral class, spectral type'') ni namna ya kutaja [[idadi]] ya [[nyota]] zenye [[tabia]] za [[Fizikia|kifizikia]] za pamoja jinsi zinavyoonekana katika [[uchambuzi]] wa [[spektra]] ya [[nuru]] zake.
 
[[Mwanga]] wa nyota unapitishwa katika [[mche maonzi]] ''(prism)'' unapopindwaunapopindika na kutoka kama kanda la [[rangi]] mbalimbali zilizomo ndani yake pamoja na [[mstari|mistari]] meusimyeusi ya ufyonzaji na mistari meupemyeupe ya utoaji. Kila mstari hudokeza kuwepo kwa [[elementi za kikemia]] ilhali [[upana]] wa mstari unadokeza uwingiwingi wa elementi hiyo.
{{mbegu-sayansi}}