Francisco Franco : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kuswahilisha makala, vyanzo
Mstari 14:
1937 aliunganisha vyama vyote vya kulia, yaani wafuasi wa mfalme, wakatoliki na wafashisti, katika chama kimoja. Baada ya mapigano ya miaka mitatu, na kwa msaada wa silaha na wanajeshi kutoka Ujerumani na Italia, jeshi la wazalendo lilishinda serikali ya jamhuri na vyama vya kushoto.
 
Sasa kilianza kipindi cha udikteta wa Franco, mwanzoni kwa ukandamizaji wa wapinzani wa kisiasa. Matumizi yake ya udikteta yalisababisha vifo kati ya 30,000 na 50,000, wengi kwa kuua wapinzani waliojulikana wa kuwapiga bundiki{{refn|<ref name=Casanova>Maestre, F. E., [[Julián Casanova Ruiz|Casanova, J.]], Mir, C., & Gómez, F. M. (2004). ''Morir, matar, sobrevivir: La violencia en la dictadura de Franco''. Grupo Planeta (GBS). p.8</ref><ref name=Fontana>[[Josep Fontana|Fontana, J.]] (Ed.). (1986). ''España bajo el franquismo: coloquio celebrado en la universidad de Valencia, noviembre de 1984''. Universidad; Crítica: Departamento de Historia Contemporánea. p.22</ref><ref name="Thomas, p. 900-901">[[#Thomas|Thomas]], p. 900-901</ref><ref name="Preston, Paul 2006. p.202">Preston, Paul. ''The Spanish Civil War. Reaction, revolution & revenge''. Harper Perennial. 2006. London. p.202</ref><ref name="Beevor, Antony 1939. p.94">Beevor, Antony. ''The Battle for Spain; The Spanish Civil War 1936–1939.'' Penguin Books. 2006. London. p.94</ref>}}<ref>Richards, Michael (1998) ''A Time of Silence: Civil War and the Culture of Repression in Franco's Spain, 1936–1945'', Cambridge University Press. ISBN 0521594014. p. 11.</ref>. Baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe, Franco alitawala kwa mamlaka kushinda kiongozi yeyote wa Hispania kabla au tangu hapo. Mwanzoni alitunga sheria zote peke yake, bila bunge na hata pia kuuliza baraza la mawaziri. Baadaye alilegeza ukali wa udikteta lakini aliendelea kuwa mkuuwa dola hadi kifo chake na pia waziri mkuu hadi 1973. Mwaka 1947 alitangaza Hispania kuwa tena ufalme lakini hakumteua mfalme.
 
Katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia alikataa kuingia upande wa Hitler akaendelea na msimamo wa kutojiunga na upande wowote. Aliruhusu Wahispania kujitolea kupigania upande wa Ujerumani katika vita dhidi ya Umoja wa Kisovyeti. Alikataa pia kujiunga na siasa ya Hitler ya kutesa Wayahudi; aliruhusu maelfu ya wakimbizi Wayahudi kupita Hispania ambako waliweza kuendelea kuhamia nchi nyingine.