Joan Baez : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
==Maisha binafsi==
===Mahusiano ya awali===
Mpenzi wake Baez halisi wa kwanza alikuwa Michael New, [[mwanafunzi]] mwenzake kutoka [[Trinidad]] na [[Tobago]] ambaye alikutana nae katika [[chuo]] chake mwishoni mwa mwaka [[1950]]. Miaka baadae mnamo 1979, alichochea [[wimbo]] wake ''“Michael”''. Kama Baez, alihudhuria masomo mara kwa mara. Wawili hao walitumia muda mwingi pamoja, lakini Baez alishindwa kuweka usawa kati ya [[kazi]] yake inayokua na mahusiano yake. Wawili hao waligombana na kupatana mara kwa mara, lakini ilikuwa dhahiri kwa Baez kwa New alikuwa anaanza kuchukia mafanikio yake na umashuhuri wake wa ndani mpya aliojipatia. Usiku mmoja alimwona akimbusu mwanamke[[Mwanamke]] mwingine kwenye [[kona]] ya [[mtaa]]. Licha ya hili, uhusiano wao ulibaki imara kwa miaka mingi baada ya kwenda [[California]] pamoja mnamo 1960.
 
== Diskografia ==