Siti Binti Saad : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Siti binti Saad''' (alizaliwa [[Fumba]], [[Zanzibari]], [[1880]] akapewa jina la 'Mtumwa' kwa vile alizaliwa kipindi cha utumwa wa Kiarabu. Jina la Siti alipewa na kabaila mmoja wa Kiarabu).<ref>{{cite web |url=http://www.zanzibarmusic.org/tradmusic_pages/history.html |title=Archived copy |access-date=2014-06-13 |url-status=dead |archive-url=https://archive.is/20140615081532/http://www.zanzibarmusic.org/tradmusic_pages/history.html |archive-date=2014-06-15 |df= |accessdate=2021-03-06 |archivedate=2014-06-15 |archiveurl=https://archive.is/20140615081532/http://www.zanzibarmusic.org/tradmusic_pages/history.html }}</ref>
 
Baba yake bwana Saadi alikuwa ni Mnyamwezi kutoka [[Tabora]] na mama yake alikuwa Mzigua toka [[Tanga]], lakini wote wawili walizaliwa Zanzibari[[Zanzibar]]. Hali ya maisha ya familia yao ilikuwa ni duni sana na walijishughulisha zaidi katika shughuli za kilimo na ufinyanzi kazi ambazo Siti alijifunza na kuzimudu vizuri pia.
 
Kama Waswahili wasemavyo "kuzaliwa masikini si kufa masikini", Siti alibarikiwa kuwa na kipaji cha pekee cha uimbaji. Kipaji hiki kilimsaidia sana tangu siku za awali ya maisha yake kwani alitumia uimbaji wake kuuza vyungu vya mama yake alivyokuwa akimsaidia kuvitembeza. Siti alipoimba sauti yake iliweza kupaa na kusafiri kwa umbali wa maili nyingi na hii ndio ilikuwa ishara ya watu kujua kwamba vyungu vya kina Mtumwa vinapita leo. Alifananishwa kuwa na mapafu yenye nguvu kama ya [[simba]] kutokana na alivyoweza kupaza sauti yake mbali na bila kuachia pumzi.