Valerie Adler : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
Valerie Adler alizaliwa nchini Afrika Kusini na baadaye kuhamia [[Uingereza]] akiwa na [[umri]] wa miaka [[kumi na saba]] na kisha kujiunga na [[shule]] ya [[sanaa]] na ubunifu ya ''Inchbald School of Design''.<ref name="DBuckman">{{cite book|author=David Buckman|publisher=Art Dictionaries Ltd|year=1989|title=Artists in Britain Since 1945 |ISBN=0953260909}}</ref>
 
Mwaka [[1970]], baada ya miaka kumi na saba nchini Uingereza alihamia katika nchi ya [[Israeli]] alikojifunza kuhusu [[Historia ya [[sanaa]] katika [[chuo kikuu]] cha ''Hebrew University of Jerusalem''.<ref name="Spalding">{{cite book|author=[[Frances Spalding]]|publisher=Antique Collectors' Club|year=1990|title=20th Century Painters and Sculptors |ISBN=1 85149 106 6}}</ref> Kisha alijifunza masomo ya uchoraji kutoka kwa [[Asher Rodnitsky]].<ref name="DBuckman"/> Mwaka [[1982]] Adler alirejea katika [[jiji]] la [[London]] katika shule ya sanaa ya ''Chelsea School of Art''.<ref name="Spalding"/> na mapema mwaka [[1990]] alirejea tena nchini Isareli.<ref name="DBuckman"/>
 
==Marejeo==