Kasuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho ya uainishaji
dNo edit summary
Mstari 24:
* [[Strigopidae]]
}}
'''Kasuku''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]]]] wa [[oda]] [[Psittaciformes]]. [[Spishi]] za [[jenasi]] nyingine zinaitwa '''kwao''' au [[cherero]]. Kasuku wengine ni wakubwa, wengine wadogo. Wengi wana rangi kali. Wana mkia mrefu na miguu yao ina vidole viwili vikabilivyo mbele na viwili vikabilivyo nyuma. Domo lao lina nguvu sana na mataya yamepindika kwa pande za kuelekea kama koleo. Kasuku wanatokea kanda zote za [[tropiki]] za [[dunia]]. Hula [[mbegu]], [[kokwa]], [[tunda|matunda]] na [[jicho la ua|macho ya maua]], pengine [[mdudu|wadudu]] na [[mnyama|wanyama]] wadogo pia. Spishi za “lories” na “lorikeets” hula [[mbochi]] na matunda mororo. Kasuku takriban wote hutaga mayai yao tunduni kwa [[mti]].
 
== Spishi za Afrika ==