Tony Gum : Tofauti kati ya masahihisho

Msanii wa Afrika Kusini
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tony Gum''' (Alizaliwa mwaka 1995) ni mpiga picha wa Afrika ya Kusini. <ref name="harpersBazaar"/><ref>{{cite web|url=https://www.timeslive.co.za/sunday-...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:41, 10 Aprili 2021

Tony Gum (Alizaliwa mwaka 1995) ni mpiga picha wa Afrika ya Kusini. [1][2][3] Gum alizaliwa Kwa Langa eneo iliyopo Cape Town katika jimbo la huba ya magharibi. [1][4] Alianza kazi yake ya upigaji picha kwa kujipiga picha mwenyewe na kuchapisha katika mtandao wa Instagram. [5] Kutokana na Juhudi zake upigaji picha ukawa kazi yake katika Sanaa. [6] Alitunukiwa tuzo ya Miami Beach Pulse mwaka 2017.

[7][8]

Marejeo

  1. 1.0 1.1 "Why This South African Visual Artist And Blogger Is Creating A Stir". Harper's BAZAAR Arabia. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-16. Iliwekwa mnamo 2019-04-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. "Tony Gum's exhibit explores what it means to be a Xhosa woman". TimesLIVE. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-16. Iliwekwa mnamo 2019-04-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. "Tony Gum's Ode to She exhibition explores one's own heritage - Cape Times". www.iol.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-16. Iliwekwa mnamo 2019-04-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  4. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-15. Iliwekwa mnamo 2019-06-15.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  5. Leitzes, Cary (15 November 2016). "15 Artists Who Are Changing Their World—And Ours". ELLE. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 April 2019. Iliwekwa mnamo 16 April 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. "Tony Gum Might Be the Coolest Girl in Cape Town". Vogue. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-16. Iliwekwa mnamo 2019-04-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  7. "Exclusive: South African Artist Tony Gum Wins This Year's Pulse Prize". artnet News. 9 December 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 April 2019. Iliwekwa mnamo 16 April 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  8. "Tony Gum Awarded 2017 Miami Beach Pulse Prize". www.artforum.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-16. Iliwekwa mnamo 2019-04-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)