Maggie Laubser : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Maggie Laubser Self Portrait 1928.jpg|300px|thumb|Maggie alivyojichora mwaka [[1928]].]]
'''Maggie Laubser''' ([[1886]]-[[1973]]) alikuwa [[mchoraji]] na mchapaji wa [[Afrika Kusini]]. Pamoja na [[Irma Stern]] alihusika kutambulisha [[sanaa]] ya "kujieleza" katika Afrika Kusini. Mwanzoni alikosolewa sana, lakini baadaye alikubaliwa na kutazamwa kuwa [[msanii]] muhimu katika [[historia]] ya sanaa nchini.
 
== Picha zake==