Marriane Fannin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
 
==Kazi ya Sanaa==
Fannin alikua msanii wa kujifunza mwenyew. Alitiwa moyo na kaka yake mkubwa, George Fox Fannin mtaalamu hodari wa mimea aliyesomea mimea asili ya Afrika Kusini<ref name="Butler2000" /> Dhamira zao zilikua juu ya Orchidaceae|orchids na Asclepiadoideae (milkweeds).<ref name="CreeseCreese2010" /> Dhamira hii ilipelekea Fannin kuchora mimea ambayo George alikusanya na kuituma michoro hiyo kwa William Henry Harvey akiwa Trinity College, Dublin. Harvey alivutiwa sana na michoro ile na kulipa Orchid jina lake kwa heshima yake kama mgunduzi wake.<ref name="Butler2000" /> Mpaka 1869, Fannin alichora albamu ikionyesha maua ya Natal. Mnamk 1878 Fannin alikua mwanachama wa chama kanisa kilichoongozwa na Askofu [[Henry Bousfield, nabwakati wa safari yao kutokea [[Durban]] kwenda Pretoria Fannin alichora michoro mfano wa mazingira waliyopita. Wakati akiishi Transvaal, Fannin alichora maua pori na na mandhari.Michoro yake imehifadhiwa na shule ya mimea ya Trinity College, Dublin. Michoro yake ya mandhari imehifadhiwa katika makusanyo binafsi ya picha Afrika Kusini.<ref name=JSTOR />
 
==Marejeo==