Lugha za Kihindi-Kiajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Indo-European branches map.png|300px|thumb|Lugha za Kihindi-Kiulaya; buluu: maeneo ya lugha za Kihindi-Kiajemi]]
'''Lugha za Kihindi-Kiajemi''' ni [[kundi]] kubwa zaidi katika [[familia]] ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Zinajumuisha [[lugha za Kihindi-Kiarya]] na [[lugha za Kiajemi]] ([[Irani]]). Zinazungumzwa zaidi kwenye [[Bara Hindi]] na [[Nyanda za Juu za Iran]]. Hapo zamani zilitumiwa pia katika [[Asia ya Kati]], [[mashariki]] mwa [[Bahari ya Kaspi]] .
 
== Lugha za Kihindi-Kiarya ==
Kuna karibu [[lugha]] 221 za Kihindi-Kiarya ''(Indic)'', zenye wasemajijumla ya wasemaji zaidi ya [[milioni]] 800.
 
* [[Kibengali]] ([[lugha rasmi]] nchini [[Bangladesh]] ; lugha rasmi ya jimbo la [[Bengala Magharibi]] nchini [[Uhindi]])
* [[Kimarathi]] (lugha rasmi ya jimbo la nchini Uhindi)
* [[Kihindustani]] (kwa [[umbo]] la [[Kiurdu]] ;: lugha rasmi nchini [[Pakistan]] ; lugha rasmi ya kieneo nchini Uhindi pamoja na [[Kihindi]], aina nyingine ya Kihindustani)
 
== Lugha za Kiajemi (Kiirani) ==
Kuna karibu lugha 86 za Kiajemi, zenye wasemaji kati ya milioni 150 hadi 200.
 
* [[Kiajemi]] (lugha rasmi nchini [[Uajemi|Iran]] ; pia rasmi kwa jina la ''Dari'' nchini [[Afghanistan]] na kama ''[[Kitajiki]]'' huko [[Tajikistan]] )
* [[Kipashto]] (lugha rasmi nchini [[Afghanistan]] )
* [[Kikurdi]] (lugha rasmi katika Eneoeneo la [[Iraq|Kurdistan nchini Iraq]] )
 
== Kinuristani, Kibangani, na Kibadeshi ==
Mstari 20:
 
== Vyanzo ==
 
** {{cite encyclopedia|url=https://www.britannica.com/topic/Indo-Iranian-languages|work=Encyclopædia Britannica|title=Indo-Iranian languages|first=George|last=Cardona|access-date=27 August 2018}}
** {{cite book|url=https://www.ethnologue.com/subgroups/indo-iranian|title=Indo-Iranian|work=Ethnologue|access-date=27 August 2018}}