Gaetano wa Thiene : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Replacing Diedci-Solimena-Sangaetano.jpg with File:Francesco_Solimena_-_Estasi_di_San_Gaetano_da_Thiene.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 2 (meaningless or ambiguous na
 
Mstari 1:
[[Image:Diedci-Francesco Solimena -Sangaetano Estasi di San Gaetano da Thiene.jpg|thumb|200px|Mt. Gaetano.]]
'''Gaetano wa Thiene''' ([[Vicenza]], [[1 Oktoba]] [[1480]] – [[Napoli]], [[7 Agosti]] [[1547]]), alikuwa [[padri]] wa [[Italia]] ambaye alichangia sana [[uamsho]] wa [[Kanisa]] wakati wa [[Urekebisho wa Kikatoliki]] hasa kwa njia ya aina mpya ya [[utawa]] aliyoianzisha, maarufu kwa [[jina]] la [[Wateatini]], iliyopata kufunga njia kwa mashirika mengine kama la [[Wajesuiti]].