Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 44:
==Hongera==
Napenda kukupongeza kwa juhudi zako katika Wikipedia, ila hakikisha kwamba makala zako zieleweke kwa Kiswahili. Unavyojua, tafsiri ya kompyuta haisaidii sana. Endelea kuangalia kama pengine ninarekebisha michango yako ili uzidi kukomaa. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 11:37, 16 Aprili 2021 (UTC)
 
:Nashukuru sana Riccardo! Kusema kweli napata changamoto kuandika makala kwa kiswahili japo ni mzungumzaji mzawa. Hua naandika na kutafsiri kadri ya uwezo wangu na kutumai watu wengine watanirekebisha. Hua siachi tafsiri ya computer peke yake. Naendelea kujifunza '''[[Mtumiaji:Aneth David (SLU)|Aneth David (SLU)]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Aneth David (SLU)#top|majadiliano]])''' 11:52, 16 Aprili 2021 (UTC)