Historia ya Afrika Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
 
== Koloni la Waholanzi kwenye Rasi ==
Chanzo cha Afrika Kusini kama nchi ni [[Koloni ya Rasi|Koloni la Rasi]] iliyoundwa na [[Waholanzi]] katika eneo la [[Cape Town]] kuanzia mwaka [[1652]]. Huko [[kabila]] jipya la [[Makaburu]] lilijitokeza kati ya [[walowezi]] [[Wazungu]] kutoka [[Uholanzi]], [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]]. Lugha yao ilikuwa [[Kiholanzi]] iliyoanza kuchukua maneno ya [[Kifaransa]], [[Kiafrika]] na [[Kiingereza]] na kuendelea kuwa lugha ya pekee [[Kiafrikaans]].
 
Karne za kwanza za koloni la Kiholanzi ziliona pia kufika kwa [[watumwa]] kutoka [[Indonesia]] walioletwa kama [[wafanyakazi]] wa Waholanzi na Makaburu. Hao Waindonesia walikuwa [[chanzo]] cha [[jumuiya]] ya [[Uislamu]] kwenye [[rasi]].