Koloni la Rasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Flag_of_the_Cape_Colony_1876-1910.svg with File:Flag_of_the_Cape_Colony_(1876–1910).svg (by CommonsDelinker because: File renamed:).
No edit summary
Mstari 17:
|}
 
'''Koloni ya Rasi''' ilikuwa [[koloni]] ya [[Uholanzi]] kuanzia [[1652]] hadi [[1806]] na baadaye ya [[Uingereza]] kuanzia [[1806]] hadi [[1910]] katika [[Afrika Kusini]] ya leo. Jina limetokana na [[Rasi ya Tumaini Jema]] iliyoko karibu na mji wa [[Cape Town]].
 
== Koloni ya Uholanzi ==
Mstari 27:
Wakati wa [[vita za Napoleoni]] eneo la Uholanzi lilitawaliwa na [[Ufaransa]] na Uingereza ilivamia koloni za Uholanzi pamoja na rasi. Waingereza waliogopa ya kwamba Wafaransa wangehatarisha mawasiliano na koloni yao huko [[Uhindi]]ni kama wangetwaa Afrika Kusini. Baada ya miake kadhaa Waingereza walinyang'anya eneo hili rasmi mwaka [[1806]]. Hali hii ilitambuliwa na Uholanzi [[1815]] kwenye [[Mkutano wa Vienna]].
 
Koloni ya Rasi iliendelea chini ya Uingereza hadi 1910. Mwaka ule [[Muungano wa Afrika Kusini]] yaliundwa na rasi iliingia ndani yake kama "[[Jimbo la Rasi]]".
 
[[Jamii:Historia ya Afrika Kusini]]